Naombeni ushauri wana jf

Wanu

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
353
Reaction score
224
Mimi sina kazi ila nilibahatika kufanya kazi hapo miaka ya nyuma nikajenga nyumba ya vyumba vitatu,
Maisha yamekuwa magum sana nimewaza kuigeuza nyumba yangu niifanye guest house ili niwe napata at least 15,000/= kwa kila chumba then mi nikapange. Je nitakuwa sahihi.?
Natanguliza shukran.
 
Wazo la kuweka kitega uchumi ni la maana sana ila sijajuwa hiyo Nyumba Yako umeijenga wapi?

Nyumba ipo mpiji magohe makaz mapya, ina master moja na vyumba vya kawaida viwili.
 
Kama mkono unaingia kinywani, wasiwasi wako uko wapi?
 
Ila kwa kusema ukweli hujakosea gest inalipa Sana ila inategemeana na eneo na mandari ya gest Yako na pia usimamizi wake ukoje?
 
Ila kwa kusema ukweli hujakosea gest inalipa Sana ila inategemeana na eneo na mandari ya gest Yako na pia usimamizi wake ukoje?

Kwa sasa sina mchongo wowote hivyo basi nawaza kama ikiwezekana nitasimamia mwenyewe.
 
Bado nahitaji ushauri wenu
 
Bado nahitaji ushauri wenu

Jifunze jnsi ya kutengeneza mkaas wa kisasa uanzishe mradi upate kipato. mtaji unaweza kuwa nao hata wa sh 5000 nipigie nikupe maelekezo 0758 308193
 
Ok nitakupigia muda wa mchana.
 
Nishauri dada angu.

Hiyo sehem nyumba yako ilipo inafaa kufanyia hiyo biashara ya guest house???? If so bas igeuze hivo then.ukapange ila hakikisha unapata wafanya kaz waaminifu
 
Jifunze jnsi ya kutengeneza mkaas wa kisasa uanzishe mradi upate kipato. mtaji unaweza kuwa nao hata wa sh 5000 nipigie nikupe maelekezo 0758 308193

Mkuu kama vipi tupe elimu kuhusu huo mkaa
 
Hiyo sehem nyumba yako ilipo inafaa kufanyia hiyo biashara ya guest house???? If so bas igeuze hivo then.ukapange ila hakikisha unapata wafanya kaz waaminifu

Hope panafaa ila si unajuwa huwezi juwa panafaa hadi ujaribu, also kwa kuanzia mimi ndo nitakuwa nipo pale hadi nipate michongo mingine ya maana.
 
Hope panafaa ila si unajuwa huwezi juwa panafaa hadi ujaribu, also kwa kuanzia mimi ndo nitakuwa nipo pale hadi nipate michongo mingine ya maana.

Bas vyema fanya research kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…