naombeni ushauri wanasheria

john77

New Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
2
Reaction score
0
mimi ni nafanya kazi vodacom kama call centre agent katika kitengo cha customer care ila nipo chini ya requinment agency inayofahamika kama erolink amboyoimechukua tenda ya kuaili watu pale vodacom, sas hivi karibuni serikali ilitangaza viwango vya kima cha chini katika makampuni ya simu ambacho ni shilingi laki nne sasa mapaka leo hii kampuni ya erolink ambayo imechukua hiyo tenda hawajatulipa huo mshahara na wanatupa majibu ambayo hayaeleweki ambayo yanahashiria hawatotulia hicho kiasi, sasa naitaji ushauri wenu wanasheria kama kweli tunastahiri kulipwa hicho kiasi au laa, na kama tunastahili basi ni hatua gani zakuchukua kuhusu hili swala? naitaji ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…