mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 256
- 463
Nimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..[HASHTAG]#ametokea[/HASHTAG] mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa nahuyo mwenye maumizo na machukizo naombeni mnishauri je nianze nae mahusiano officially au nisubir kwanza .??Msaada wenu plz maana nimechoka sipati Upendo nao taka kutoka kwa huyo wa kwanza#huyu mwingine ameonyesha Upendo kwa mda mrefu,kunijali,kuniheshimu,kunishauri na kazalika.