swala si kipato ni kumheshimu mwenzin na wakutoa talaka hapo ni mke si mumeembu rekebisha kauli yako daa angel sio ungemtwanga talaka ungeomba talaka na ni hiyari yake akupe au asikupe kama mimi ningekuwa mume wa huyo mdada nisingetoa talaka kwasababu hana udhibitisho kama nimetoka nje ya ndoa hii ndio tabu ya kuoa mwanamke aliekuzid kipato unakuwa hauna sauti kabisa ndani ya nyumba
Asante sana Tuko,
Popobawa pole zako zimefika
Pesa bwana peeesaaaaa!!!
Kuna mambo ambayo dada ako (Mama D) anapaswa afanye ambayo wadau hapo juu wameshasema :::
1) Kuruhusu "Hasira za Mwanzo" ziishe kabisa. Hapo zitabaki hasira za tukio tu
2) Kuongea na Mumewe. Hii haijalishi ana ushahidi wa video, picha au msg za mapenzi, yapaswa aongee nae tu.
3) Kupata ushauri wa watu wengine walio ktk ndoa imara na zenye muda mrefu.
4) Kuzingatia maisha ya mtoto kama ikitokea wameachana. Pls I beg you to THINK DEEP ABOUT our innocent child
Ila hili ni somo kwetu sote kuwa HUWEZ KUMTULIZA BINADAMU KWA PESA. Iwe mwanamke au mwanaume.
Lakin naanza kuhisi kuwa mapenzi yao hayakuwa na msingi mzuri tangu hata kabla ya ndoa. Nahisi mwanamke "alimpenda sana mwanaume" wakati mwanaume "alimtaka sana mwanamke".
Na isitoshe nahis mwanamke alijaribu kumtuliza, kumtengeneza na kumjenga mwanaume kwa pesa yake!!! Maana naona dalili zote za huyu jamaa kuwa na tabia hiz tangu zamani, ila ikawa inachezwa kamali ya CHANGE.
Nisiongee sana ila hili tatizo limenifundisha mengi mno. Ni ndoa ya Mr Perfect na Mrs Right.
Basi, yametosha! enough is enough!
swala si kipato ni kumheshimu mwenzin na wakutoa talaka hapo ni mke si mume
Imagine huyo mdada wa watu alikuwa ndo kwaanza anampa jamaa vi-pocket money vya kwenda kujitutumua mara moja moja kwa small house! Unajua tena kuna besdei na anniversary (kuna coaligue wangu ana small house 10+ yrs sasa,anasema wanacelebrate annivessary yao kila mwaka, ni mke wa mtu na wamezaa mtoto wa mwisho intentionally)
Ahh, Mama D, muambie dada alie, akasirike na afanye anachojiskia ila asimguse that bastard asije akamuua. Afanye tu maamuzi kwa kufuata moyo wake. Kuachana is not that easy, ana excuse za kutosha sijui watoto, familia and the like. Lakini amlaze pema anapostahili huyo baba wakati akifikiria cha kumfanya
pole zake..ila je ameshawahi kuongea nae na kumweleza kuhusu hiyo tabia yake..maana watu wengine wanafanya hivyo wakijua kwamba wenzao hawajui lakini wakigundua kwamba wenzao wameshashtukia tabia yao huwa wanaacha mara mojaPoleni sana. Hapo pagumu sana, lkn kitu cha msingi ni je wana watoto wangapi? Pia naomba kujua kwamba mwanaume akiulizwa anasemaje? Je anaonyesha kujutia aliyofanya au? Naomba hayo majibu ndipo nijaribu kutoa ushauri hapo.
Hivi kwani ndoa imo kwenye list ya "Amri Kumi za Mungu"?
Ukiamua kumsamehe mwenzi wako kwa ku-do nje, basi jiandae pia kumsamehe kwa kukuletea magonjwa ya zinaa including AIDS!
Dunia duara mamangu, hawa watu hawabebeki jamani, yaani puuh.......! Mi sina ushauri hapa wanaume walishanichosha akili, hata ufanyeje ipo siku ataibuka na skendo tu, ausikilize moyo wake basi...