Naombeni ushauri wenu kuhusu baba yangu

Kaka madenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2021
Posts
312
Reaction score
574
Wazee
Majuzi kati nimeenda hapa home kwa wazazi .
Sasa nimesajiri line mpya juzi tu nikaona ngoja nimjaribu huyu mzee.
Nikaandika text kwenda kwake.
"Vipi ile hela naisubiri me Suzy"

Nikaona tu mzee katabasamu baada ya text kuingia ..na akaondoka.
Baada ya muda imeingia 50k cash.

Sasa nishaurini wakuu
Ninunue k vant ama balimi?
 
Ndo mda wake mzee kuhonga koo acha afanye roho yake inapenda
 
Umemjaribu baba yako na umewin

Mjaribu tena ila ukiingia 18 zake sijui itakuwaje. Hiyo laini mpya umesajili na NIDA yako auuuu
 
Endelea kunywa k vant huku ukiwa umeshanunua kilainishi!

Haiwezekani hela ya mwanaume iliwe kirahisi hivi tena na mwanaume aliyejifanya mwanamke.
Kaa mkao wa kuja Kutatuliwa
 
Endelea kunywa k vant huku ukiwa umeshanunua kilainishi!

Haiwezekani hela ya mwanaume iliwe kirahisi hivi tena na mwanaume aliyejifanya mwanamke.
Kaa mkao wa kuja Kutatuliwa
[emoji23][emoji23] Kwa hiyo atatatuliwa na mzee wake
 
Muombe ushauri mama yako, atakupa ushauri mzuri zaidi kuliko utakaopewa hapa.
 

Ukikua utaacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umezeeka mzee usiforce kuwa kijana kama sisi.

Nyie ndo vile vizee vinavyokufa vikijaribu vumbi la mundende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…