Naombeni Ushauri wenu kuhusu kozi hii

Naombeni Ushauri wenu kuhusu kozi hii

Civil Eng iko poa sana maana ile kozi ni daily activities na hata kujiajiri ni rahisi, Infact zote nzur lakin civil ni nzuri zaid.
 
kama uwezo wa kipesa anao aendelee tu maswala ya ajira ni mbele ya safari. swala la ku apply tena ni kupoteza muda kwasababu kabla ajafanya application alipaswa kulitambua hilo.
 
Kwl kbsa nahsi hiyo taasisi itakuwa ni DIT kama sikosei,mi nmemaliza hapo mwak jana ila kozi tofauti na hiyo kwkweli TEL imepoteza soko huku uraiani ukitaka kumshauri afatilie sana matangzo ya ajira atagundua tu ni fani zipi ambazo zinasoko sana kipind hiki,mi namshauri asome MECHANICAL,ELECTRICAL au LABORATORY TECHNLOGY hapo atakuwa ameplay vzuri
 
kozi ambayo yeye ameilenga ni civil....
 
Civil Eng iko poa sana maana ile kozi ni daily activities na hata kujiajiri ni rahisi, Infact zote nzur lakin civil ni nzuri zaid.

Nashkuru mkuu kwa ushauri wako nitaufikisha kama ulivyo baada ya kuongezea uchunguzi kidogo.
 
Back
Top Bottom