Naombeni ushauri wenu na masahada tafadhali juu ya Swala Hili linalo nikabili mwana forum mwenzenu

Huyo demu achana nae usiumize kichwa naye atakuja kukuua ukimbembeleza ,wanawake hawanaga akili ndugu ,Naamini Mungu atakupa mwingine
 
huyo mwanamke ni kabila gani??
 
Hahahaha!!!!!nice advice, I like this
 
Mmh something is telling me huyo beki tatu huyo ndo chanzo cha tatizo
Hujamla kweli alafu wife akagundua?
Tatizo la wanawake wengi hasa wake zetu, namna wanavyo mtreat dada wa kazi, wanataka vivyo hivyo na wewe umtreat mdada huyo kama afanyavyo yeye.

Mfano, kama anamkaripia mara kwa mara, atataka nawe baba wa nyumba umkaripie vivyo hivyo, jambo hili linaudhi sana hasa pale mwanamke anapotaka mwanaume ufikirie na kutenda kama yeye anavyomuwazia dada wa kazi ambaye anaumri sawa au kumzidi kidogo tu binti yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…