jassone jasper
Member
- Aug 23, 2014
- 12
- 5
Nina vidonda kichwani miezi mitatu sasa nimemeza dawa Griseofulvin 1 kila siku kwa muda wa siku 15 ila bado tatizo ndo linazidi kuwa kubwa. Doctor ushauri wako please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok broKabla ya kutumia hizo dawa ulimuona Daktari? Kama bado hujamuona nenda kamuone kwanza
SwadaktaKabla ya kutumia hizo dawa ulimuona Daktari? Kama bado hujamuona nenda kamuone kwanza
WapiLete tuvione kwanza
Hiyo ndo tiba au ushauri?Swadakta
Wapi