Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 722
- 1,030
Habari za wakati huu wana Jf na wapenzi wasomaji wa Jukwaa Pendwa la MMU.
Mimi ni kijana ambaye sijaoa na nina miaka 30+ now ila nina mchumba. Huyu mdada niko naye takribani miaka miwili sasa. Hapa kazi alikwenda masomoni kwenda kuongeza Elimu yake na mimi nikabakia huku kwetu mtaani so ikawa ni mapenzi ya kwenye simu. Nisiwe muongo, huyu dada huja huku mkoani nilipo kuja kunisalimia na anaweza kaa hata wiki then anaondoka kurudi Chuo.
Anaweza kaa miezi miwili bila kuja home na mimi huku nikiwa naendelea Majukumu yangu ya Kijasiriamali. Katika kipindi ambacho hayupo zile wiki za mwanzo huwa naziwezea ila baadae nashindwa natafuta sehemu pakushushia Mzigo wangu na mwisho wa siku mahusiano yanaendelea kimtindo. Nampenda.
Ila katika mechi zangu za ugenini nimekuja kutokea kupata mdada mmoja wa Kisukuma ana SHANGA zake bhana[emoji3059][emoji3059]. Nimekuwa naye kwa muda sasa. Kupitia huyu dada nimejikuta napenda mwanamke akivaa Shanga na ninakuwa na moto wa Hatari. Sasa nataka nimnunulie Babe wangu shanga maana amenipigia leo hii kuwa atakuja Home. Ila naongopa kuulizwa maswali maana kabla ya hapo sikuwa napenda mwanamke akiwa na shanga ila huyu mchepuko kanifanya nipende mwanamke akiwa na shanga. Sasa nisaidieni wazo..! Nimpatie hela yeye ndio akanunue au nimnunulie nimpelekee kama surprise [emoji28].
Naomba mawazo na kama nikiulizwa maswali nisaidie namna ya kuyajibu au niache kumnunulia ?? [emoji3][emoji3]