naombeni ushauri wenu wadau

Halafu unaonekana wewe dada ni mbabe sana kwa nini ulimpa jina mtoto ambalo baba yake halitaki ? Pengine anahisi mtoto ana baba mwingine aliyetoa jina. Sasa mimi nakuamuru ukae haraka na mzazi mwenzio mjadili matatizo yenu.

likasu, ishu sio ubabe,nilimwambia akakubali,later akanigeuka! Sasa inaleta maana kweli hiyo? Au hujanielewa vzr ktk post?
 

jamani,matatizo yaliyopo kwa mwanaume huyu ni mengi tu,japo sijayaorodhesha! Ni mtu aliyejivika ngozi ya kondoo,kumbe ni chui! Hez got lots pipo! Plz nieleweni
 
nashkuruni wote kwa ushauri wenu,ingawa wengi mnaonekana hamsomi post nzima mkaielewa! Kuhusu jina mbn nimesema tulidiskas,akakubali! Badae,akanigeuka kwamba halitaki,anataka nimpe la baba'ke mzazi! Wkt huohuo,at first,alishaniambia kwamba jina lolote ntaloona linanifaa nimpe! Ndomana nimeuliza,tatizo ni jina pekeyake? Nieleweni wadau...pls
 
nashkuruni wote kwa ushauri wenu,ingawa wengi mnaonekana hamsomi post nzima mkaielewa! Kuhusu jina mbn nimesema tulidiskas,akakubali! Badae,akanigeuka kwamba halitaki,anataka nimpe la baba'ke mzazi! Wkt huohuo,at first,alishaniambia kwamba jina lolote ntaloona linanifaa nimpe! Ndomana nimeuliza,tatizo ni jina pekeyake? Nieleweni wadau...pls
 
Kwa mila za makabira mengi yakitanzania utaratibu wakutoa jina la mtoto hua anapewa Baba mtoto kwanza, sina mashaka we binti ni Mchaga tena wa Machame kabisa coz hata msamaha hujamwomba mwenzio wakati kosa ushalitambua. Kwa nini umwite mtoto wa mwenzio CHAUSIKU? Ningekuwa mimi pia ningenuna na kususa kama huyo bwana, nae atakuwa MSUKUMA TU!
 
Stop TRIBE CALLING...ina maana wasioomba msamaha wote ni WaMachame?Nachukia watu wenye mawazo mgando!
 

Bidada umesusiwa na kususwa? Halohalooooo! Hujachezwa wewe! Mwanaume anakususa vipi wewe unamfanyia nini? Rudi kwenu ukafundwe shosty na umri huo utasuswa sana. Jiulize wenzio tunachezea namba kubwa sembuse hiyo ya kwako 25 tu na mtu anakamatwa kisawasawa hafurukuti. Umevamia pori na wembe bidada rudi kajiandae upya.
 
Ahaa ahaa habari yake Da Sophy
 
Pole shosti, kaa nae muulize km kisa cha kukutelekeza ni jina tu au ana lake jambo? Km ishu ni jina we libadiri ila kwa matakwa yake ili 2one hali itakuwaje, km visa vtaendelea ujue uyo tena si wako,shika ustarabu wako ila mshauriane jinc ya ku2nza mtto. Ksicho riziki hakiliki ma dia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…