Naombeni ushauri wenu

Naombeni ushauri wenu

Prettinho

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
48
Reaction score
2
Me ni miongoni mwa wanafunzi waliochaguliwa chuo cha Mzumbe,,,, sa jina langu sijaliona ktika list ya wanafunz waliopata mkopo,,, nimetafakari xana nimeona labda nipostpone mwaka niapplly tena mwakani course ya loggin and transport management pale NIT,,, 7bu hyo course ni priority nimetaka kutransfer naona muda ushaisha,,,, hvi munaonaje na hyo course nzuri,,,,
 
Hata N.I.T kuna programme ya Human resource na ni priority
 
Pole sana mdogo wangu, jaribu kutafuta msaada hata kwa ndugu wa karibu kuliko kuhairisha mwaka itakucost sana.
 
kuahirisha mwaka sio uamuzi mzuri kwa upande wang! Piga moyo konde upambane kama una uwezo wa kujihudumia
 
Tanx ol kwa ushauri wenu,,, ntafanya hvyo,,, Yote ni matokeo ya Mungu,,, nimepokea yalivyo,,, cwez jua kanyima chuo,,, atanisaidia kazi kwa mapema,,,
 
we chuo kipi umechaguliwa? na vp khsu course ya loggn n transportation management nzuri?
 
yah i heard ni nzuri,,, kwa kesho ctowahi,,,,nataka niende TCU moja kwa moja!!!
 
Samahan wakuu inamaana siye tulioomba kwa kuangalia available slots cyo rahic kupata ni mpaka uende chuoni kuulizia, sijaelewa naomben ufafanuzi ndugu
 
Back
Top Bottom