Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

babyfae

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6
Reaction score
0
Wana Jf naombeni ushauri.
Je ni vibaya kutolewa mahari muda huu harafu harusi ikafuata baadae, labda mwaka kesho kutwa hivi ndio maandalizi ya harusi yawepo?
 
Kwani kwa kawaida watu hua wanaemunga harusi kwanza ndo mahari ilipwe?
 
Mahari inalipwa kabla ya harusi
unaweza lipa mahari harusi ikafungwa hata miaka 5 ijayo
na waweza lipa mahari na usifunge nae ndoa
 
Wana Jf naombeni ushauri.
Je ni vibaya kutolewa mahari muda huu harafu harusi ikafuata baadae, labda mwaka kesho kutwa hivi ndio maandalizi ya harusi yawepo?

Mwenyewe sijui
 
Dada Dena, sababu ni kwamba mwenzangu kazini kwake mkataba wa kuwa single unaisha mwakani that why tunataka kufanya hivyo.
 
??????
Hivi niko dunia gani vile?
Kuna mikataba ya kuwa single?oh my
 
Wana Jf naombeni ushauri.
Je ni vibaya kutolewa mahari muda huu harafu harusi ikafuata baadae, labda mwaka kesho kutwa hivi ndio maandalizi ya harusi yawepo?

Naona bomba tu lakini wakwe wasije kusahau kwamba kulikuwa na kufunga ndoa.
 
Dada Dena, sababu ni kwamba mwenzangu kazini kwake mkataba wa kuwa single unaisha mwakani that why tunataka kufanya hivyo.

Ok, mwanzo nilifikiri ni hela ya mkopo hivyo anaogopa asije akaitumia katika mambo mengine, hapo sababu inakujakuja ingalau.
 
Nikweli Chapa Nalo Jr wala hauja kosea. Nimmoja wapo katika hayo makundi.
 
Dada Dena, sababu ni kwamba mwenzangu kazini kwake mkataba wa kuwa single unaisha mwakani that why tunataka kufanya hivyo.

Kama ni hivyo sawa haina shida, analipa tu mwanzoni hukuweka sababu za msingi mamy
 
yakheeeeeeee sivibaya ila ikiwa unataka ndoa ya haraka hapana shaka nambie lini wataka tuoane?
 
Dada Dena, sababu ni kwamba mwenzangu kazini kwake mkataba wa kuwa single unaisha mwakani that why tunataka kufanya hivyo.

Huyo jamaa yako atakua mjeda. Hata hivyo hizi sheria zinasababisha kukosa wasomi ktk sekta muhimu kwani vigumu mtu amemaliza degree halafu umwambie akae miaka mi5 bila kuoa, nani atakubali ?
 
harooooooooooo liaf..................luka kichurachura aiseeeeeee unanitania nadhan mmeelewa yawezekana coz sheria za kaz sio yy
 
Back
Top Bottom