S Shiwa Member Joined Jun 22, 2017 Posts 5 Reaction score 2 Aug 18, 2017 #1 usiku nikilala ikatokea nimeshtuka jicho langu moja linatoa machozi mengi nikifuta yanaongezeka zaidi na haliumi lakin naona tu machozi yanamiminika kwa muda mpaka nikisinzia linaacha. na hii hali imekua ikijirudia. ni tatizo gani??
usiku nikilala ikatokea nimeshtuka jicho langu moja linatoa machozi mengi nikifuta yanaongezeka zaidi na haliumi lakin naona tu machozi yanamiminika kwa muda mpaka nikisinzia linaacha. na hii hali imekua ikijirudia. ni tatizo gani??
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Aug 18, 2017 #2 Nenda hospitali
Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,471 Aug 18, 2017 #3 Unalala na nani tuanzie hapo kwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
S Shiwa Member Joined Jun 22, 2017 Posts 5 Reaction score 2 Aug 18, 2017 Thread starter #4 Shida na raha said: Unalala na nani tuanzie hapo kwanza. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... na mfanyakazi wa ndani
Shida na raha said: Unalala na nani tuanzie hapo kwanza. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... na mfanyakazi wa ndani
Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,471 Aug 18, 2017 #5 Ok, unapenda kutumia computer mda mwingi? Sent using Jamii Forums mobile app