sorry,
pale kwenye neno NISINGEFURA nilikosea,nilitaka kusema hata ingekua mie NISINGEFURAHI nikasahau HI.
mbona huyo mwanamke angenikoma!?!ananikata jicho asubuhi jioni nahakikisha ananiona ninavyomchangamkia mkewe kwa ucheshi wa hali ya juu....................
cheusi jiamini,macho hayaui mwache akuangalie atakavyo!!!ukiona anakukera akikukata ujicho na wewe mkate!kuonyesha hutetereki na tactic yake hio mbovu ya kukumaliza...............shauri zake na mumewe huko kama mkware atajijuuuuuu,huyo mama sio rafiki yako amani yake ni kutokuona hapo so pambana naye kikike...fanya lilokupeleka mengine pigana nayo kichinichini hivyo hivyo,.....hamna kusarenda kwa wivu wa huyo mama nakwambia!
Mh Najaribu kutafuta majibu ya hiyo club ambayo haina replacement sipati. Kwa kifupi kama unaweza tafuta club nyingine. Nina similar experience. Nilipoajiriwa nikiwa bado mgeni na single kuna staff mmoja ambae mkewe pia ni staff mwenzetu alikuwa anapenda kunizoea. At first I took it positively though nilikuwa najua jamaa hajatulia kabisa. Ila nilikuja kujua mkewe ameanza kuni mind. Nilichofanya kuna siku nilimwambia live please, usinigombanishe na mkeo kwani hapendi unavyo spend muda mwingi ofisini kwangu. It worked. Aliacha na yule mama with time alianza kunipenda baada ya kujua mimi sina tabia ya kutembea na wame za watu.
Unajua sehemu yoyote ukiwa mgeni watu lazima wawe suspicious na wewe.
Nadhani kama huna feelings zozote kwa mwanaume ni rahisi sana kumwambia aache tabia ambayo inakukwaza.
Pili ni kawaida sana kuwa na wivu. Hata mimi nisingependa kabisa mume wangu a pay attention kwa mwanamke mwingine no matter what. Hata kama huyo mwanamke mwingine anastahili sifa anazopewa na mume wangu. Hata mimi sijawahi kumsifia mwanaume yeyote mbele ya mume wangu japo wako kibao wenye sifa zaidi yake. Everyone wants and deserve to feel he/she is number one to the person he is in love with. Sasa huyo jamaa kama hawezi hata ku "fake it" basi atakuletea matatizo. Ni kosa kubwa sana kukusifia mbele ya wife wake.
Cheusi haumtegi kweli mbaba wa watu? hama club kama unaona vibaya usije pata madhara ya bure, siku hizi wake za watu wakikukamata wanakutahiri na kucha tu
asante,nawe pia ubarikiweMama Kubwa na Asha D, wamejaribu kukueleza hisia za mwanamke aliyeolewa juu ya waume zao..Pia upunguze kujiamani kwamba unajua sana hisia za mwanaume anayetaka kukutongoza. haimaanishai kwamba huyo mkurugenzi ana nia hiyo,isipokuwa kuna watu wengi wanajikuta wametumbukia bila kujijua.
Ikiwezekana, kwa kuheshimu ndoa ya mwanamke mwenzio, utafute sehemu nyingine au upumzike kwa muda. Usijaribu kumsemea vibaya yule mwanamke kwa mume wako kwamba anakuchukia. Wewe ni mtu mzima, na ujaribu kupunguza ukaribu wa namna yeyote ile na huyo mkurugenzi. Huwezi kufa kwa kushindwa kuhudhuria social club..
Nafikiri ukianza kuishi kama mke aliyeolewa utaelewa zaidi ni kwa nini huyo mwanamke hakupendi..maana huo uchangamfu wa mume wake inawezekana hajawahi kuuonesha kwa mke wake..
Ubarikiwe
cheusi,kwa style hii mwana mke yeyote lazima angehisi
ana karibia kuibiwa!
either,...
1.kua karibu sana na huyo mama,mfanye rafiki yako na mshirikishe mambo
mengi sana ili awe huru na wewe kama mtoto/mdogo wake,..
au
2.ondoka kabisa,ili kutunza ndoa ya hao watu,hii ni option ya mwisho
baada ya ya kwanza kushindikana!
Please,usi mdokolee mwenzio mme wake!
Kama umeolewa unaweza kumtambulisha mmeo kwa wote wawili
huyo boss na mke wake (au hata mchumba kama unae ni vizuri pia)!!!
mim simtaki,cheusi kwani wewe unamtaka au humtaki?i mean ungependa huyo jamaa awe na mwanamke au angekuwa single ndio bora zaidi
Ninachokiona hapa Cheusimangala huyu mama hajiamini kabisa anaona kama mzee wake anaweza akakutokea
Pia labda huyu Mkurugenzi anatabia za kuwa ana totoz ambazo zinamfanya mkewe kukosa amani.
na huo ukaribu pia upendo alionao kwako Mkurugenzi..kama ungekuwa uko commited na mtu ungeweza kumtambulisha Mkurugenzi na wife wake angalau ingeweza kumuondolea hofu huyo mamaa.
Ila ndo matatizo ya kufanya kazi karibu na mme /mke hii ni kasheshe ..usicheke na mtu Gubu
Ngoja niendelee kuwaza zaidi