Naombeni ushauri

Sure the Boy

Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
15
Reaction score
3
Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu gan ambacho walau kinaweza kuwa keep nanipatia hela hata za matumiz madg madg, au hata experience kwa kipind hik cha Likizo.
 
Ukipewa mbegu za papai utazifamyia nn? Ukiwa na jibu zuri niPm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…