N nana29 Member Joined Aug 20, 2013 Posts 30 Reaction score 16 Oct 10, 2019 #1 Habari zenu wanna jf. Naombeni ushauri kwenye bwawa langu la samaki Kuna vitoto vingi sana vya chura . Je hivi vinaweza kudumaza vifaraga wanguwa samaki? Nitafanyaje kuviondoa . Asanteni sanaa
Habari zenu wanna jf. Naombeni ushauri kwenye bwawa langu la samaki Kuna vitoto vingi sana vya chura . Je hivi vinaweza kudumaza vifaraga wanguwa samaki? Nitafanyaje kuviondoa . Asanteni sanaa
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Oct 10, 2019 #2 Nadhani si vizuri wao kuwepo,namna ya kuwatoa tusubiri wataalamu au wenye uzoefu watusaidie
N nana29 Member Joined Aug 20, 2013 Posts 30 Reaction score 16 Oct 10, 2019 Thread starter #3 Equation x said: Nadhani si vizuri wao kuwepo,namna ya kuwatoa tusubiri wataalamu au wenye uzoefu watusaidie Click to expand... Asante sana
Equation x said: Nadhani si vizuri wao kuwepo,namna ya kuwatoa tusubiri wataalamu au wenye uzoefu watusaidie Click to expand... Asante sana
PANTHERA LEO JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 2,307 Reaction score 3,437 Oct 10, 2019 #4 Ngoja waje...me nachojua chura na wao ni chakula cha samaki