Edison Ernest Paul Member Joined Nov 4, 2019 Posts 10 Reaction score 2 Nov 8, 2019 #1 Habari za leo! Naitwa Edison Ernest nipo dares salaam, Mimi ninahitaji kujiajiri kwa kufanya biashara, mpaka sasa ninamtaji Wa sh,400,000 laki 4 lakini sijuwi nifanye biashara gani naombeni ushauri wakuu. Ahsanteni!
Habari za leo! Naitwa Edison Ernest nipo dares salaam, Mimi ninahitaji kujiajiri kwa kufanya biashara, mpaka sasa ninamtaji Wa sh,400,000 laki 4 lakini sijuwi nifanye biashara gani naombeni ushauri wakuu. Ahsanteni!
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 11,074 Reaction score 20,608 Nov 8, 2019 #2 Uko nchi mkoa Gani ??? Kama uko dar fungua Banda la chips sehemu yenye mzunguko hiyo hela inatosha....
Uko nchi mkoa Gani ??? Kama uko dar fungua Banda la chips sehemu yenye mzunguko hiyo hela inatosha....
Edison Ernest Paul Member Joined Nov 4, 2019 Posts 10 Reaction score 2 Nov 8, 2019 Thread starter #3 Daud1990 said: Uko nchi mkoa Gani ??? Kama uko dar fungua Banda la chips sehemu yenye mzunguko hiyo hela inatosha.... Click to expand... Ahsante bro
Daud1990 said: Uko nchi mkoa Gani ??? Kama uko dar fungua Banda la chips sehemu yenye mzunguko hiyo hela inatosha.... Click to expand... Ahsante bro