Naombeni ushauri

Goodluck7

Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
10
Reaction score
12
Nina wazo la kufanya biashara ya ndizi either kutoka Bukoba kwenda Mwanza ama Dar, na mikoa mingne ila sina idea yoyote ya wapi naanzia, mtaji kiasi gani unahitajika na masoko yapoje.

Kwa anaefahamu naomba anipe shule kidogo
 
Subiri wenye uzoefu waje kukupa ushauri, kila lakheri kwenye Biashara yako.
 
Pambania kwenye masoko ili iwe rahisi kuuza. Mtaji unaweza anza ata na mikungu 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…