naombeni ushauri

naombeni ushauri

chen

Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
64
Reaction score
7
ni muda wa miezi mitatu toka nijuane na huyu mwanamke lkn nahisi si chaguo langu, kila nikijitahidi kuachana nae nashindwa najikuta narudiana nae.
 
ni muda wa miezi mitatu toka nijuane na huyu mwanamke lkn nahisi si chaguo langu, kila nikijitahidi kuachana nae nashindwa najikuta narudiana nae.

Ukiwa unarudiana nae basi unampenda kama humpendi usingerudiana nae kamwe
 
Kwani tatizo ni nini mpaka utake kumuacha?
 
Nafikiri jibu umetoa mwenyewe, unahisi si chaguo lako. Kama ni hivyo, fanya maamuzi magumu, jifunge kiume mweleze ukweli na songa mbele ukiyasahau yaliyopita, na kuyachuchumilia yaliyo mbele yako. Na uwahi kufanya maamuzi mapema kabla hajakutega na mimba ukakwama kabisa kufikia malengo yako.
 
tatizo lake ni kuchovya chovya alihisi amepata wa kuchovya kama kawaida yake kumbe hiyo sio type hiyo
 
ni muda wa miezi mitatu toka nijuane na huyu mwanamke lkn nahisi si chaguo langu, kila nikijitahidi kuachana nae nashindwa najikuta narudiana nae.

ushamba tu najua hujazoea ma blow job ww
 
Miezi mitatu halafu ushaachana nae nakurudiana??? You are joking bro..............ila sijui umesema tu kila ukiachana hujasema mara ngapi the way I see hujatulia
 
hiki ni kituko kikubwa snaa ... miez mitatu ni sawa na week moja na sidhani kama umeshamwelewa au mkaelewana kiasi cha kufanya maamuzi yoyote na inaonekana kilichopo ni tamaa ya ngono .. ukimaliza unaona hafaidi , ukiwa na hamu unamtafuta haraka kwa vile inaonekana yuko huru
 
Back
Top Bottom