Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Kamzuzu

Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
37
Reaction score
4
Hi wana jf,natumai mko poa nafikiri ni wakati sawia kueleza haya kipi kitakuwa bora kuonyesha mapenzi ya dhati kwa msichana na kukubaliana na vyote atakavyorespond au kutojihusisha na suala la mpz na kubaki kula kwa macho nakuteseka na mpz cjui mpz yanataka nini au bac tubalehe kipindi cha ndoa,nawasilisha.
 
fortune favours the brave....wee jotose na sikilizia reaponse yake
 
Hi wana jf,natumai mko poa nafikiri ni wakati sawia kueleza haya kipi kitakuwa bora kuonyesha mapenzi ya dhati kwa msichana na kukubaliana na vyote atakavyorespond au kutojihusisha na suala la mpz na kubaki kula kwa macho nakuteseka na mpz cjui mpz yanataka nini au bac tubalehe kipindi cha ndoa,nawasilisha.

Uandishi wa siku hizi bana....
 
Achana na mapenzi kama yanakutesa. Kwani mtu huwezi kuishi maisha ya furaha bila mpenzi?
 
Unataka watu waoe wanapokuwa wanabalehe?? Yaani arround 14yrs of age?? Duh! Basi kama hutaki mapenzi achana nayo, ila ujiandae kwenye bajeti ya sabuni mkuu.
 
Hi wana jf,natumai mko poa nafikiri ni wakati sawia kueleza haya kipi kitakuwa bora kuonyesha mapenzi ya dhati kwa msichana na kukubaliana na vyote atakavyorespond au kutojihusisha na suala la mpz na kubaki kula kwa macho nakuteseka na mpz cjui mpz yanataka nini au bac tubalehe kipindi cha ndoa,nawasilisha.
jambo la kukumbushwa ni kwamba ,suala la mapenzi la kihormone, ambalo likifika na hormone zikaclick, hakuna cha kuficha wala kukubalina ni sual atomattic kupenda , na hakuna anayeweza kucontrol hormones zisiclick, likifikia kubali bila kujali mazingira na wakati, sababu halina umri, nasaba, jinsiawala kipato
class
 
ila jamani sie wa 47 mnatutenga na uandishi huu.

Hata sijaelewa!
 
Watoto wa siku izi bana! Sasa unataka nini! eti nawasilisha!!
 
Back
Top Bottom