Hi wana jf,natumai mko poa nafikiri ni wakati sawia kueleza haya kipi kitakuwa bora kuonyesha mapenzi ya dhati kwa msichana na kukubaliana na vyote atakavyorespond au kutojihusisha na suala la mpz na kubaki kula kwa macho nakuteseka na mpz cjui mpz yanataka nini au bac tubalehe kipindi cha ndoa,nawasilisha.
jambo la kukumbushwa ni kwamba ,suala la mapenzi la kihormone, ambalo likifika na hormone zikaclick, hakuna cha kuficha wala kukubalina ni sual atomattic kupenda , na hakuna anayeweza kucontrol hormones zisiclick, likifikia kubali bila kujali mazingira na wakati, sababu halina umri, nasaba, jinsiawala kipatoHi wana jf,natumai mko poa nafikiri ni wakati sawia kueleza haya kipi kitakuwa bora kuonyesha mapenzi ya dhati kwa msichana na kukubaliana na vyote atakavyorespond au kutojihusisha na suala la mpz na kubaki kula kwa macho nakuteseka na mpz cjui mpz yanataka nini au bac tubalehe kipindi cha ndoa,nawasilisha.
ila jamani sie wa 47 mnatutenga na uandishi huu.
Hata sijaelewa!
husninyo. can you ???