Mi, nimtoto wa mkulima ila nimepata post ifm computer science na sina uwezo wa kujilipia pia kozi yenyewe nackia haina soko, nifanyeje? Naombeni ushauri wakuu.
Ningekuambia ukabadili course na uchague yenye kipaumbele kama edu,lakini sidhani kama ifm kuna kama hzo. Ila kama ulijua we mtoto wa mkulima,kwa nini ulichagua course zisizokuwa na mkopo?
Dogo hiyo kozi ina soko, msikalie maneno ya vijiweni.Ushauri wangu kama mambo yakishindikana, ahirisha mwaka jipange kwa ajili ya mwaka kesho na kuchagua kozi ambazo unaweza pata mkopo.Mda huo tafuta shule na piga "Tempo".Yangu ni hayo tu.