Jamani naombeni mnishauri mwenzenu, demu wangu kapima na ana -[negative]. hivi kiafya kuna madhara gani ambayo naweza kupata, hususani katika kazaa watoo. Inasemekana kwamba watoto wanafariki, je nifanyaje katika hli lililonikumba.
Kaka hiyo negative ni kizazi factor na sio ukimwi, tatizo nasikia kwamba watoto huwa wanazaliwa na kufariki ikiwa baba kizazi factor ni postive, na mm dam yangu ya kizazi facor ni postive.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.