naombeni ushauri

ELWA MAN

Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
6
Reaction score
1
Jamani naombeni mnishauri mwenzenu, demu wangu kapima na ana -[negative]. hivi kiafya kuna madhara gani ambayo naweza kupata, hususani katika kazaa watoo. Inasemekana kwamba watoto wanafariki, je nifanyaje katika hli lililonikumba.
 
Hiyo negative kwani mwenzetu unailewaje? Kwan mi ninavyojua ni kuwa yupo safi,mambo ya kufa ni mipango ya Mungu mkuu...
 
Kaka hiyo negative ni kizazi factor na sio ukimwi, tatizo nasikia kwamba watoto huwa wanazaliwa na kufariki ikiwa baba kizazi factor ni postive, na mm dam yangu ya kizazi facor ni postive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…