Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

ELWA MAN

Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
6
Reaction score
1
Ndgu zangu naombeni ushauri, hivi ni mbinu gani zitanisaidia ili niweze kusoma na kulielewa somo la psychology. Linanipa tabu sana hapa chuoni.
 
Mkuu mbinu zlezle ulzotumia advance ndo utumie pia chuo. Jadili na wenzako, pia uwe unafanya marudio ya mara kwa mara.
 
jaribu kusma vtabu mbal mbl il uone utofaut wa material na fany discusion kw wing ksha som kw muda wako
 
Mbinu ninazo tumia kwa masomo mengine zinashindwa kunifanikisha katika somo la psychology
 
Back
Top Bottom