Naombeni ushauri!

venance H

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
41
Reaction score
24
Wakuu, mi nilikuwa mwl wa vodafasta, nilikuwa nafundisha Hesabu, baadae niliamua kujiendeleza na elimu ya chuo kikuu, baada ya kuondoka katika kituo changu cha kazi niliicha majonzi mengi kwa wanafunzi, Mimi na mwl mwingine tulikuwa tunalimudu sana somo la hesabu, walitutegemea sana hata shule jirani, mwezi wa saba nitamaliza shahada yangu ya kwanza katika masomo ya Hesabu na uchumi, shule nyingi za private baadhi ziko kahama kwa wachimba madini wanaonekana kuanza kunihitaji baada ya kumaliza masomo. je Naomba ushauri wana jf niendelee na kazi yangu serikalini au niende private school?
 

Kwanza unatakiwa kujua ni kwa dau gani hao private schls wanakuhitaji, kama dau ni kubwa zaid bac nenda..lakn pil ni bora uendelee na selikaln maana utakuwa unapata chanc za hapa na pale za kupiga part tme private kitu ambacho ukikaa mwisho wa mwez utajikuta umekusanya chench kuzid hata yule aliye private....lakn mkuu acha majisifu ya namna hiyo, et 'namudu sana somo la hesab' sis tutacbtishaje hum jamvin? Ckunyingine usirudie kabisa.
 
mkuu nashukuru kwa majibu yako mazuri pamoja sana ki ukweli nalimudu hilo somo bila ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…