naombeni ushauri

mtu wa zamani

Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
17
Reaction score
11
short coarse ipi ya INFORMATION TECHNOOGY (IT) nayoweza soma na ikaniweka mjini apa nikihitimu? msaada jamani
 
Sio mbaya kaka ! Ila kama ungeweka qualification zako nkaziona ngeweza kukushauri usome nin ambacho ukihitimu kitakuweka mjini hapa kwa ulaini zaid.
 
Sio mbaya kaka ! Ila kama ungeweka qualification zako nkaziona ngeweza kukushauri usome nin ambacho ukihitimu kitakuweka mjini hapa kwa ulaini zaid.

siku chache zijazo natarajia kuhitimu degree in procurement and supplies. Nilitamani sana kupata mahali wanapotoa mafunzo ya e-procurement Short coarse nijiunge kupata utaalamu zaidi na kuwa more compitent na kuimarisha cv yangu lakini hadi sasa sijafaniiwa kupata. Naombeni ushauri wenu kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…