venance H
Member
- Jan 27, 2013
- 41
- 24
wadau poleni na majukumu ya kila siku, mi ni mwalimu nimejiendeleza kutoka vodafasta hadi shahada, masomo MATHEMATICS AND ECONOMICS nimemaliza chuo kikuu mwaka huu, nimerudi kituoni kwangu shule mojawapo mkoani shinyanga, Kwa kweli mazingira ya kufanyia kazi ni magumu hakuna nyumba ya kuishi , huduma nyingine kama umeme , hospital tunazikia kijiji cha mbali, nimeamua kuanza kutafuta kazi kwenye shule za private zilizopo mikoa ya Arusha au Dar ess salaam, malengo yangu ni kurudi serikalini baada ya miaka 5 ili serikali iboreshe kwanza mishahara na mazingira yaufundishaji.
NI MAWAWZO YANGU NAOMBENI USHAURI WADAU.
NI MAWAWZO YANGU NAOMBENI USHAURI WADAU.