Naombeni ushauri.

venance H

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
41
Reaction score
24
wadau poleni na majukumu ya kila siku, mi ni mwalimu nimejiendeleza kutoka vodafasta hadi shahada, masomo MATHEMATICS AND ECONOMICS nimemaliza chuo kikuu mwaka huu, nimerudi kituoni kwangu shule mojawapo mkoani shinyanga, Kwa kweli mazingira ya kufanyia kazi ni magumu hakuna nyumba ya kuishi , huduma nyingine kama umeme , hospital tunazikia kijiji cha mbali, nimeamua kuanza kutafuta kazi kwenye shule za private zilizopo mikoa ya Arusha au Dar ess salaam, malengo yangu ni kurudi serikalini baada ya miaka 5 ili serikali iboreshe kwanza mishahara na mazingira yaufundishaji.
NI MAWAWZO YANGU NAOMBENI USHAURI WADAU.
 
Kaka venance H, ulifanya kazi kwa muda katika kituo hicho kama voda fasta, je! Hizo huduma unazolalamikia sasa zilikuwepo?

Ama kwa kuwa umejiendleza basi unaamua kukimbia? Hapo uzalendo uko wapi?
Na je, kama kila mtu akijiendeleza na hatimae kukimbia kitu chake kwa sababu ya ugumu wa maisha, nani atabaki kwenye shule za kata? Ningekushauri utulie hukohuko serikalini. Ni bora ungeomba uamisho kuliko kwenda private.

Unaweza kulipwa hela ndefu huko private lakini chungu, unawezajuta kuondoka kwako huko serikalini, na hyo miaka 5 ukaijutia.
 
Last edited by a moderator:
man kuwa makini private yenyew hujapata alaf huko unakotaka kla m2 anapataka ww komaa 2 hapo huku ukiomba uamixhwe k2o na huku unatafta hata hzo private ,,tatzo ya hz shule unaweza kupewa leo mkataba kexho ukavunjwa xo take care set your programs
 
mi ni mwalimu[/quote said:
private unaijua unaisikia uandishi wa lesson plan,log book,schemes na utanyanyasika sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…