Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Redrose20

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
213
Reaction score
35
Habari zenu wana JF.

Mimi ni msichana nashindwa kuelewa haswa mzunguko wa siku zangu mana hua unabadilika sn na nahitaji mtoto kwa sasa nashindwa kujua tarehe za hatari za kushika mimba,mwezi wa 3 nilianza tarehe1 mwezi huu nimeanza tarehe31 yan hata sielewi..

Msaada wenu tafadhali.
 
Kutana na mwenzako kuanzia trh 12 hadi 16, kam huna tatizo utashika mimba
 
Back
Top Bottom