habari zenu ndugu zangu wa humu ndani nina ndugu yangu almaliza form6 miaka ya nyuma kwa bahati mbaya alipata principle pass moja akukata tamaa aka apply diploma chuo kimoja kamaliza mwaka huu ila amekamatika somo moja kapata supplementary na kulirudia mpaka mwakani na hana kazi inayomuingizia kipato ila ndioo kanifuata kuniomba msaada wa mawazo nimshurii nini??? japo kwa upande wangu ninataka nimwambie arudie na mtian wa kidato cha 6 apate principle ziwe juu ya 2 ili ajiunge na bachelor kwa mwaka ujao nia bado anayo naomben attention yenu ,asanteni.