Naombeni Ushauri

hijja

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
32
Reaction score
6
kwa mtalaam yeyote wa afya . .ninatatizo baada yakumeza dawa ya allerg ili kupungua macho kuwasha na vipele ila chakushangaza . .macho yamepungua kuwasha ila kuna pimples zlitokoe huwa haziishi maeneo ya kwenye taya . .tattizo linamuda mrefu na nmejarbu k2mia dawa na kwenda hospitali . .lakin bado . .plz n plz nplz nisaidieni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…