J627204
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 268
- 99
Mimi ni fundi wa kuchomea magari,mageti na kazi zote zihusikanazo nauchomeleahi msaada wangu ni kwamba kwa sasa hakuna kazi naombeni msaada ni biashara gani nzuri ili nitafute mtaji wakufanya biashara au naomba mjasiria mali anaye elewa anisaidie pia mwenye kazi anitafute namba ni +255756627204 kwa matumizi ya kazi tu