elias godfrey
Member
- Oct 13, 2012
- 35
- 6
Mm ni kijana ambaye npo chuo certificate semister 2 kozi ya uhasibu wakati npo semister 1 nilikua nasoma masomo 5 ambayo ni math,acc,business eng,office n computer ila kwa bahati nzuri niliperform vizuri ila isipokuwa somo 1 tu ambalo ni computer nilipata F nikaingia semister 2 huku nikiwa nadaiwa i mean natakiwa kulifanya tena upya likizo ya semister 2 n nimekuwa nikijituma sanaa ktk elimu ila kwa bahati mbaya matokeo yakizingua somo 1kk zngu,dada zngu,baba zngu n mama zngu naombeni ushauri juu ya hili nitumie trick gn ili niweze kufanya vizuri juu ya hili plz nahitaji mawazo yenu ndugu zngu