super black JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 566 Reaction score 533 May 15, 2017 #1 kama kichwa cha habari kinavojieleza jamani umu ndani meingia mda ila utaratibu wa umu sijui inakuaje umu ndani maana meingia toka mwaka Jana lakini naona mapicha picha tu ata hii post sijui kama itafika au vipi.NAOMBA MWONGOZO
kama kichwa cha habari kinavojieleza jamani umu ndani meingia mda ila utaratibu wa umu sijui inakuaje umu ndani maana meingia toka mwaka Jana lakini naona mapicha picha tu ata hii post sijui kama itafika au vipi.NAOMBA MWONGOZO