The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
wana JF natumai mpo fully.. Napenda kuuliza eti MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY kimesajiliwa kama chuo kikuu au kina hadhi sawa na chuo kikuu..au kina kuwa treated vipi.
Nisaidieni kwa hilo tafadhali.
Nisaidieni kwa hilo tafadhali.