T The Infamous JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 731 Reaction score 121 Sep 15, 2009 #1 wana JF natumai mpo fully.. Napenda kuuliza eti MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY kimesajiliwa kama chuo kikuu au kina hadhi sawa na chuo kikuu..au kina kuwa treated vipi. Nisaidieni kwa hilo tafadhali.
wana JF natumai mpo fully.. Napenda kuuliza eti MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY kimesajiliwa kama chuo kikuu au kina hadhi sawa na chuo kikuu..au kina kuwa treated vipi. Nisaidieni kwa hilo tafadhali.