NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hawakuja mpaka hivi sasaWanakuja
Usiseme tu wanakuja bila ya wewe kutoa chochote kituWanakuja
Jaribu kusearch nyuzi za nyuma naamini utapata muongozoHawakuja mpaka hivi sasa
Mimi ni mtumiaji tu wa perfume mkuu sielewi chochote kuhusu kuendesha hiyo biasharaUsiseme tu wanakuja bila ya wewe kutoa chochote kitu
We fungua tu ila ujiandae na masista do/ watanashati wasiokuwa na Hela kazi Yao huwa kujispray Kwa kigezo Cha kuangalia perfume yenye harufu nzuri. Akimaliza sample zote huyoo anakuambia atarudi baadaye.Habari za uzima wajasiria mali, nauliza mwenye uzoefu na biashara ya perfume anipe uzoefu kwa mtaji wa laki 3,
Machimbo na perfume za aina gani napaswa kuanza nazo.
Nb nipo dodoma, na nitakua natembeza Sina fremu.
Ukishaanza kuuza nitafute whatsapp niwe nakufanyia supply ya brands zote za perfumes kutoka Dubai +971527794329Habari za uzima wajasiria mali, nauliza mwenye uzoefu na biashara ya perfume anipe uzoefu kwa mtaji wa laki 3,
Machimbo na perfume za aina gani napaswa kuanza nazo.
Nb nipo dodoma, na nitakua natembeza Sina fremu.