Wadau naombeni uzoefu wenu kuhusu ufugaji wa samaki hasa kwa hapa dar es salaam. Je unaweza ukawa ni mradi unaolipa? Nasikia kwamba kuna aina ya ufugaji ambao unaendana na ufugaji wa kuku yaani banda la kuku linakuwa juu ya bwawa la samaki. any ideas?