Asubuhi tulivu nikiwasalimu nyote ...!
Ningependa kusema kuna watu wanastaili kabisa kupewa ulizi maana wanafanya mambo ya kupendeza sana au nasema uongo ndugu zangu .naanza kama hivi..
1.Wale mademu ambao wanakula na kupendeza kwa hela zao (Hawapigi vibomu vya kijinga mpka uwape mwenyew )
2.Wanawake wenye age ilioenda huwa wana gawa zawadi kwa kiwango cha SGR na sio wachoyo wala wasumbufu
3.Wake za watu wanaotoa bususu bila hiyana na zawadi kama zote
4.Mademu ambao wakija gheto huwa wanajua nini kimewaleta
5..........ENDELEA KWENYE COMMENT
UZI TAYARI ......
MITANO TENA....,