zakaria massa
Member
- Sep 5, 2018
- 26
- 7
Hizi 2.5M umezipataje?Naombeni wazo la biashara kwa mtaji wa 2.5m
Karibuni
Katunza salary yakeHizi 2.5M umezipataje?
Ndo utupieKumbe wenzangu mna mitaji,mm nina notebook ina mawazo ya biashara tu😂
Fungua sehemu pika ugali dona,mboga za majani,na kuna rost ya nyama tamu sana yani ukipika sehemu penye mkusanyiko wa watu unauza mpaka unakimbia ela,anaanza kuuza saa 2 asubuhi mpaka saaa 6 mchana ushakunja laki zaka kama kadhaa hiviNaombeni wazo la biashara kwa mtaji wa 2.5m
Karibuni