Aunt shangazi
New Member
- Mar 20, 2024
- 1
- 2
1: We katika nafsi yako huwa unapenda kufanya nini ili biashara yako iwe hicho upendacho.Habari zenu Wana jamvi? Matumaini mko poa kabisa. Ndugu zangu naomba mwenye uzoefu na mkoa wa Iringa niko na mtaji wa sh. Mil 5 nataka kufanya biashara lakini Hadi muda huu sijui ni biashara gani na nitafanya katika eneo gani mkoani Iringa.
Naombeni sana mawazo yenu
Aunt shangazimzee wangu!
Hamna kingine?Uza dagaa wa aina zote iringa mjini nimekaa for 5yrs mboga shida sana au ukifeli kabisa uza nguo japo wanauza wengi.