Naombeni wazo la biashara ya mtaji wa 300k-500k Dodoma Mjini

Naombeni wazo la biashara ya mtaji wa 300k-500k Dodoma Mjini

Shivo32

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2023
Posts
327
Reaction score
645
Wakuu, naombeni wazo la biashara ya mtaji wa 300k-500k Dodoma Mjini

Napokea ushauri wenu
 
Nenda pale chuo cha mipango kuna muingoliano mkubwa maana pembeni kuna chuo cha madini fungua kijiwe cha supu ya kongoro na nyama ya mbuzi ikiwa nipamoja na utumbo wake chapati za kutosha fresh.
 
Tafuta eneo la machinga.... (Nenda sehemu ilochangamka kama machinga complex)

Au tafuta chance kwenye minada,,, then niwe na kuagizia nguo kali za mtumba (nguo za kike) uwe unauza kwa Bei ya Dar. (Dodoma nimekaa Bei zao nazijua)

Utaenda maeneo ya chuo utauza nguo kali za kike kwa Bei ya 5k (mzigo ni grade A )
Kwahyo lazima zikulipe bro

Ntakuuzia kwa Bei ya jumla 3000 kwa pisi moja.. we utauza 5000 ila n nguo kali sana ambazo hata 8000 unaweza muuzia mtu

Au nikutumie mikoba ya mtumba...
Hapa ndo utawakamata wengi minadani maana hii product huwa adimu sana🤝
 
Pamoja
Nenda pale chuo cha mipango kuna muingoliano mkubwa maana pembeni kuna chuo cha madini fungua kijiwe cha supu ya kongoro na nyama ya mbuzi ikiwa nipamoja na utumbo wake chapati za kutosha fres
Nenda pale chuo cha mipango kuna muingoliano mkubwa maana pembeni kuna chuo cha madini fungua kijiwe cha supu ya kongoro na nyama ya mbuzi ikiwa nipamoja na utumbo wake chapati za kutosha fresh.
Asante mkuu
 
fanya udalali wa gunia za viazi mkaa mayai,kuku nk kwenye migahawa mbalimbali chagua mzigo mizuri kwa wakulima kwa bei chini kidogo kisha peleka kwa watumiaji wamiliki wa migahawa kwa bei yenye kukupa faida
 
Tafuta eneo la machinga.... (Nenda sehemu ilochangamka kama machinga complex)

Au tafuta chance kwenye minada,,, then niwe na kuagizia nguo kali za mtumba (nguo za kike) uwe unauza kwa Bei ya Dar. (Dodoma nimekaa Bei zao nazijua)

Utaenda maeneo ya chuo utauza nguo kali za kike kwa Bei ya 5k (mzigo ni grade A )
Kwahyo lazima zikulipe bro

Ntakuuzia kwa Bei ya jumla 3000 kwa pisi moja.. we utauza 5000 ila n nguo kali sana ambazo hata 8000 unaweza muuzia mtu

Au nikutumie mikoba ya mtumba...
Hapa ndo utawakamata wengi minadani maana hii product huwa adimu sana🤝
Mkuu naomba mawasiliano yako PM
 
Biashara bora zaidi kuliko zooote ni biashara ya chakula aka MAZAO ya nafaka na mafuta.
Nunua au zalisha Dodoma uza DRC, SOMALIA ,SUDANI na sehemu zozote zenye mdundano
a) Kisindikwe
b) Kisicho sindikwa
Hii ndo biashara unayoweza kuwini haina mbamba
 
Fungua kijiwe cha kuuza matunda maeneo ya vyuo utapata riziki kidogo!
 
Mtaji wa shilingi laki 3 hadi 5 sio Mkubwa ila Kuna wadau hapo juu wametoa wazo chanya la kuuza Supu.

Binafsi naunga mkono hoja.

Kama upo tayari Fanya hiyo biashara ya Supu na Makongolo.

Kwa kiasi hicho, fungua vijiwe viwili kimoja weka hiyo mitaa ya CBE na kingine kafungue Pale Nane Nane stendi.

Mtaji ukishaimarika, Anza kutoa huduma ya Supu Kwa njia ya kutembea (Mobile Supu Delivery) unakuwa una usafiri wako unapita barabara zote za hapo town.
 
Back
Top Bottom