Tafuta eneo la machinga.... (Nenda sehemu ilochangamka kama machinga complex)
Au tafuta chance kwenye minada,,, then niwe na kuagizia nguo kali za mtumba (nguo za kike) uwe unauza kwa Bei ya Dar. (Dodoma nimekaa Bei zao nazijua)
Utaenda maeneo ya chuo utauza nguo kali za kike kwa Bei ya 5k (mzigo ni grade A )
Kwahyo lazima zikulipe bro
Ntakuuzia kwa Bei ya jumla 3000 kwa pisi moja.. we utauza 5000 ila n nguo kali sana ambazo hata 8000 unaweza muuzia mtu
Au nikutumie mikoba ya mtumba...
Hapa ndo utawakamata wengi minadani maana hii product huwa adimu sana🤝