ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu Kuna zile meseji tulikuwa tunatumiwa kwamba ukii forward kwa watu kumi au ishirini Basi utaona mafanikio baada ya kipindi kifupi.nina ma sms ya kushato wakuu Kama 1500 hivi naombeni msaada wa zile meseji na shida nazo nitumie maraia maana Hali yangu ya kipesa sio nzuri.sina makwaru kabisa. mpaka imefikia hatua naongea peke yangu barabarani.nisaidieni hizo meseji kwanza nijaribu kikubwa si Imani tu?ninayo.