naombeni zile meseji ambazo ukitumia watu 10 unafanikiwa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu Kuna zile meseji tulikuwa tunatumiwa kwamba ukii forward kwa watu kumi au ishirini Basi utaona mafanikio baada ya kipindi kifupi.nina ma sms ya kushato wakuu Kama 1500 hivi naombeni msaada wa zile meseji na shida nazo nitumie maraia maana Hali yangu ya kipesa sio nzuri.sina makwaru kabisa. mpaka imefikia hatua naongea peke yangu barabarani.nisaidieni hizo meseji kwanza nijaribu kikubwa si Imani tu?ninayo.
 
Tcra imezipiga marufuku Ila ukituma vocha kuna ambazo in za cku nyingi sana naweza vumilia kukutumia
 
Write your reply...ukiisoma hii comment ninayoandika hapa ninayozidi kuandika huku wewe ukizidi kuisoma licha ya kujua kuwa naiongezea maneno lakini bado tu unaisoma si uachane nayo kwa nini unaisoma basi utakuwa mmbea usijali nlkuwa nakutania yani nlkuwa nasema hivi ukiisoma hii comment yangu ndefu niliyoandika hapa halafu ukailike utafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…