Naombwa kujuzwa juu ya hii kozi ya Logistic and Transport management.

nyonga nyonga

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
27
Reaction score
4
Naomba kwa wenye uelewa wa kozi ya logistic and transport management, anijuze katika upande wa market pamoja na sehemu ambazo mtu huyu anaweza kufanya kazi au kujiajiri.


Asante.
 
kwa jinsi ninavyo elewa iyo ni course ya pekee inayo patikana N.I.T naamin n marketable bandugu cha muhm ni kutoka then mengne yatafataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…