Naombwa kusaidiwa

Vipi kuhusu vidonge na sindano hujatumia!
 
Pengine utakua na msongo wa mawazo!
 
Pole mdada, jaribu kumwona daktari kwa ushauri wa kueleweka
 
Sijaona siku zangu tangu mwezj huu uanze lakini pia sijafanya tendo lolote la ndoa je shida iko wap mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijifungua wa kiume muute Issa.
Akiwa wa kikee muite Mariam..
Ushauri:
Kamuone daktar kwa vipimo na maelezo zaidi.
Vyakula unavyo kula kuwa makini navyo..
Mwisho punguza stress maisha ni yale yale tafuta sehemu ya mbali ujaribu kutuliza akili na mwili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…