Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
- Thread starter
-
- #21
dah jamaa alikuwa best yangu kinoma. pia walipatana sana na bro wangu. hapo BIG Y nilikuwa nakula kulia napita shuleni kwa juu kidogo ndo kwa kina Naomi. hiyo njia ya kulia kwa big y napandisha kidogo nakula kulia tena pale kanisani baada tu ya fence za kanisa kuna nyumba ya jamaa mmoja nakumbuka jina ni km ALFAYO sjui alikuwa anafanya kazi mount meru enzi zile ndo ilikuwa geto hapo hahaaa. nikija a town lazima nikutafute mkuuKijanaa tuko naye sana Span view. Alianzisha mradi wa kufyetua matofali, jamaa wa halmashauri wakamfisadi pamoja na jamaa kua ni mlemavu flani.
Asee!Duh!mkeo anarudi lini? kama unazidiwa mfuate banaaa, manake kama unakumbushia hivi,ukikutana nae leo ubungo sijui itakuwaje!
ilianza ya dar, ikafuata ya ArushaKama vile nafall in love na ur stories,unajua kuandika story nimezipenda ila ile ya sinza mamsap akiona unalo,na ile ilikuwa baada ya kutoka huku arusha eh?
aaah wapi bana mamsap wangu ndo kila kiiitu ni hadithi tu na si kijela kinanisumbua
huyu mzee!hajaonyesha kwenye story yake km aliweza kula tunda.inaonyesha km aliishia kuandika documentary tu!Mpaka leo Naomi watu wanajisevia? Pole ndugu kwa kutendwa....