Naona 500 ndiyo sarafu pekee imebaki mtaani

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Sijaona sarafu nyingine. Hata vitu kununua bei zinapangwa kuanzia 500. Labda viwili miatano au vitatu 1000. Ni ishara ya mfumuko wa bei?
 
Nenda kwa wauza mihogo miguu ya kuku na shingo za kuku plus vichwa utazikuta
 
Shilingi 5, 10, 20 na 25 zimepotea kitambo sana ingawa hazijafutwa katika fedha halali (legal tender)
 
Bado zipo sema zimekuwa adimu nadhani hiyo inakuja baada ya gharama za usafiri wa daladala kupanda kuwa 600

Moja ya dalili ya hizo coins kupotea sokoni ni pale utapoona waganga wanaangiza watu.

Utasikia mtu anakuja na matangazo kuwa ananunua coins za 50, 100, na 200 kwa bei ya milioni kama ambavyo saizi miatano ya noti inavyosakwa na waganga.
 
Kummbe ni za kutunza.
 
500 ya noti inauzwa shilingi ngapi?
 
Ila hamsini haina thamani huwa inapatikana chini ya uvungu , kwenye dust bin na chini ya seat ya gari watu wa 80s na 90s tulitumia 50 kununua beer
wenzio walizichanga wakanunulia bati ndugu wewe unakumbuka bia tuh

50 ilinunu tofali ya kuchoma makumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…